Mwenyekiti Wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli amejitokeza na Kwenda Kupiga Kura Chamwino Ikulu.
Mwenyekiti Wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli Wamejitokeza na Kwenda Kupiga Kura Chamwino Ikulu.