kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika Jumanne tarehe 22 Novemba, 2022 Dodoma.