CCM - Chama Cha Mapinduzi
Muda Wa Kazi: 24/7

Habari na Matukio Mbalimbali


CHATANDA AKUTANA NA WABUNGE WA MAJIMBO WANAWAKE WA CCM  NCHINI

alternative

📍Dodoma
🗓️ 13 Mei 2024

Mwenyekiti  wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) Leo tarehe 13 Mei, 2024 amekutana na Wabunge wa Majimbo Wanawake  katika ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.

Huu ni Muendelezo  wa Mwenyekiti Chatanda kukutana na makundi mbalimbali ya Viongozi Wanawake kwa lengo la kuhamasisha ushiriki wa Wanawake kugombea nafasi mbalimbali za uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu 2024 na Uchaguzi Mkuu mwakani 2025.

Katika kikao hicho Chatanda aliambatana na Naibu Katibu Mkuu wa UWT Tanzania Bara Ndg. Riziki Kingwande (MNEC) na Katibu wa Wabunge Wanawake ambae pia ni mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Taifa Mhe. Subira Mgalu (MB)

alternative alternative alternative alternative alternative

Maoni & Mawasiliano

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.
Chama Cha Mapinduzi, Kuu Street, P.O.Box 50, Dodoma-TZ.
Barua Pepe
Muda Wa Kazi
24/7
Anuani
P.O.Box 50