CCM - Chama Cha Mapinduzi
Muda Wa Kazi: 24/7

Habari na Matukio Mbalimbali


ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NA SEKRETARIETI YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA

alternative

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo atakuwa na Ziara ya Kikazi Mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na Njombe akiambatana na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kuanzia tarehe 15-21 Septemba 2021 yenye dhima ya kuimarisha Chama na kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020/25.
 

Maoni & Mawasiliano

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.
Chama Cha Mapinduzi, Kuu Street, P.O.Box 50, Dodoma-TZ.
Barua Pepe
Muda Wa Kazi
24/7
Anuani
P.O.Box 50