MSAFARA WA KATIBU MKUU WA CCM WASIMAMISHWA KIJIJI CHA NDALETA UKIELEKEA KITETO
Msafara wa Sekretarieti ya CCM Taifa imesimamishwa na wananchi wa kijiji cha Ndaleta na kuzungumza kero zao na kutatuliwa papo kwa papo na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo akiwa njiani kuelekea wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara leo Tarehe 09 Machi 2023.