MAPOKEZI YA KATIBU MKUU WA WAZAZI MKOANI MANYARA
Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Ndugu Gilbert Kalima Mkoani Manyara pamoja na Viongozi Mbalimbali wa Jumuiya na Chama Yamefanyika Mapema Leo Tarehe 06-05-2013 Kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa Manyara Mara Baada ya Kuwasili Kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Wazazi Taifa Yanayofanyika Mkoani Manyara Kuanzia Tarehe 06-05-2023 Hadi 09-05-2023.
Wajumbe Wote Mnakaribishwa.