Naibu Katibu Mkuu wa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Christina Mndeme amewasili Mkoa wa Mjini Unguja na kupokelewa na viongozi mbalimbali ....
Naibu Katibu Mkuu wa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Christina Mndeme amewasili Mkoa wa Mjini Unguja na kupokelewa na viongozi mbalimbali Chama akimwakilisha Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo kuiongoza Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa, kukagua uhai wa CCM mashinani na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025 mkoani humo.