Baraza la Eid Al Fitri ....
Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan , leo Mei 3 , 2022 amejumuika pamoja na Wananchi katika Baraza la Eid El Fitri lililofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere
(JNICC) Mkoa wa Dar es Salaam.
Baraza la Eid Al Fitri hufanyika kila baada ya kukamilika kwa Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani
Eddi Mubaarak