CCM - Chama Cha Mapinduzi
Muda Wa Kazi: 24/7

Habari na Matukio Mbalimbali


KIGOMA MJINI KUMENOGA

alternative

Naibu Karibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndg.Christina Mndeme ametembelea na kukagua uboreshwaji wa miundombinu ya majengo katika Hospitali ya Rufaa ya Maweni iliyopo Mkoani Kigoma ambapo amefurahishwa na mwenendo WA ujenzi unayoendelea katika Hospitali hivyo.

Ameyasema hayo Leo tarehe 05 Agosto,2022 alipotembelea Hospitali ya Maweni iliyopo kata ya Maweni Mkoani Kigoma.

Maoni & Mawasiliano

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.
Chama Cha Mapinduzi, Kuu Street, P.O.Box 50, Dodoma-TZ.
Barua Pepe
Muda Wa Kazi
24/7
Anuani
P.O.Box 50