CCM - Chama Cha Mapinduzi
Muda Wa Kazi: 24/7

Habari na Matukio Mbalimbali


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata Utepe kwa ajili ya kupokea Miradi iliyofadhiliwa na kujengwa na Serikali ya Ujerumani..

alternative

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata Utepe kwa ajili ya kupokea Miradi iliyofadhiliwa na kujengwa na Serikali ya Ujerumani kupitia Jeshi la Nchi hiyo (GAFTAG) kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo Jijini Dar es Salaam leo tarehe 28 Julai, 2021. Kulia ni Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Bi. Regine Hess, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene, kulia Mkuu wa Majeshi Venance Mabeyo, Waziri wa Afya Mhe. Doroth Gwajima, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Mhe. Mbarouk Nassor Mbarouk.

Maoni & Mawasiliano

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.
Chama Cha Mapinduzi, Kuu Street, P.O.Box 50, Dodoma-TZ.
Barua Pepe
Muda Wa Kazi
24/7
Anuani
P.O.Box 50