CCM - Chama Cha Mapinduzi
Muda Wa Kazi: 24/7

Habari na Matukio Mbalimbali


KATIBU MKUU WA CCM DKT. NCHIMBI AKIHUTUBIA WANANCHI NA KUSIKILIZA KERO ZAO MBALIMBALI

alternative

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akihutubia wananchi na kusikiliza kero zao mbalimbali, wakati na baada ya mkutano wa hadhara, uliofanyika katika Uwanja wa Stendi ya (zamani) Babati Mjini, Jumamosi, Juni 1, 2024, ambapo alihitimisha ziara yake ya siku mbili mkoani humo.

alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative

Maoni & Mawasiliano

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.
Chama Cha Mapinduzi, Kuu Street, P.O.Box 50, Dodoma-TZ.
Barua Pepe
Muda Wa Kazi
24/7
Anuani
P.O.Box 50