CCM - Chama Cha Mapinduzi
Muda Wa Kazi: 24/7

Habari na Matukio Mbalimbali


UKAGUZI WA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA LABAV - MBULU

alternative

Sekretarieti ya CCM Taifa ikiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo wanaendelea na ziara ya kukagua na kutekeleza Ilani ya CCM leo tarehe 06 Machi 2023  Wametembelea na kukagua Mradi wa Maji kijiji cha Labay  uliopo wilaya ya Mbulu na  kuzungumza na wananchi wa wanaonufaika na mradi huo.

alternative alternative alternative

Maoni & Mawasiliano

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.
Chama Cha Mapinduzi, Kuu Street, P.O.Box 50, Dodoma-TZ.
Barua Pepe
Muda Wa Kazi
24/7
Anuani
P.O.Box 50