Uwekaji wa Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mbeya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisogeza kitambaa kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mbeya katika hafla fupi iliyofanyika Jijini Mbeya tarehe 05 Agosti, 2022.