Habari/Matukio

Habari na Matukio Mbalimbali


Maandamano ya Vijana (UVCCM) wa Chama cha Mapinduzi kuelekea uzinduzi wa kampeni za mgombea urais Zanzibar.....

alternative

Maandamano ya Vijana (UVCCM) wa Chama cha Mapinduzi kuelekea uzinduzi wa kampeni za mgombea urais Zanzibar tarehe 11-09-2020

Habari Nyingine

alternative
Makamu Wa Rais Mteule , Mhe. Samia Suluhu Hassani akila kiapo kuwa Makamu Wa Rais wa Tanzania kwa muhula wa pili.

05-11-2020Makamu Wa Rais Mteule , Mhe. Samia Suluhu Hassani akila kiapo kuwa Makamu Wa Rais wa Tanzania kwa muhula wa pili. Sherehe ya kuapishwa kwa kiongozi huyo inaendelea katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

alternative
Rais Mteule, Dkt. John Pombe Magufuli akila kiapo kuwa Rais wa Tanzania kwa muhula wa pili..

05-11-2020Rais Mteule, Dkt. John Pombe Magufuli akila kiapo kuwa Rais wa Tanzania kwa muhula wa pili. Sherehe ya kuapishwa kwa kiongozi huyo inaendelea katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

alternative
Tunatoa Shukurani za dhati kwa Wapiga kura wote waliofanikisha ushindi wa Kishindo kwa Chama cha Mapinduzi.

30-10-2020Tunashukuru makundi mbalimbali ya wapiga kura kwa kuanza na Vijana, Wanawake na Wazee, Asanteni kwa kuchagua Viongozi makini na Imara kutoka Chama cha Mapinduzi kwa maslahi ya taifa la Tanzania.

alternative
Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Dkt John Pombe Joseph Magufuli.

30-10-2020Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Dkt John Pombe Joseph Magufuli.Tunatoka Shukurani za dhati kwa Wapiga kura wote waliofanikisha ushindi wa Kishindo kwa Chama cha Mapinduzi.

Mawasiliano Ya Chama

Kuwa Karibu na CCM

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.

Unaweza Kupakua CCM APP


Ungana nasi katika Mitandao Ya Kijamii

Youtube Channel