CCM - Chama Cha Mapinduzi
Muda Wa Kazi: 24/7

Habari na Matukio Mbalimbali


BALOZI NCHIMBI AONGOZA MAPOKEZI YA KATIBU MKUU, MGOMBEA URAIS WA FRELIMO
 

alternative

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi amewaongoza viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, ngazi ya taifa na Mkoa wa Dodoma, kumpokea  Katibu Mkuu wa Chama Tawala cha Msumbiji (FRELIMO), Komredi Daniel Francisco Chapo, ambaye pia ni mgombea urais mteule wa FRELIMO, kwenye Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo utakaofanyika mwaka huu mara baada ya kuwasili pamoja na ujumbe wake, katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma, leo Jumatano Juni 12, 2024.

alternative alternative alternative alternative alternative

Maoni & Mawasiliano

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.
Chama Cha Mapinduzi, Kuu Street, P.O.Box 50, Dodoma-TZ.
Barua Pepe
Muda Wa Kazi
24/7
Anuani
P.O.Box 50