Kinana amekutana nakuzungumza na Balozi wa Morocco Nchini Tanzania
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg.Abdulrahman Kinana amekutana nakuzungumza na Balozi wa Morocco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri katika Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam.