Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Juni 30, 2020, atarudisha Fomu ya kugombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi.