CCM - Chama Cha Mapinduzi
Muda Wa Kazi: 24/7

Habari na Matukio Mbalimbali


RAIS SAMIA AMFARIJI NA KUMPA  POLE NA  MZEE WASIRA.
 

alternative

Katibu Mkuu Wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Daniel Chongolo leo ameungana na Viongozi wa serikali, vyama vya siasa  wananchi  wa  Mkoa wa Dar es Salaam katika kuaga mwili wa Mtoto wa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndg Steven Masato Wasila, Marehemu Wembura Steven Wasira nyumbani kwake Boko wilayani Kinondoni.

Akiwasilisha  Salamu za Pole kutoka kwa  Mwenyekiti  wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg Samia Hassan Suluhu,  Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka  Amesema. 

"Rais Samia amepokea msiba huu kwa huzuni na masikitiko makubwa kwani Mzee Wasira ameondokewa na mtoto wake ambae alikuwa na mchango mkuwa katika familia hiyo" Alisema  Shaka.

Bwana Ametoa Bwana Ametwa jina lake lihimidiwe.

Maoni & Mawasiliano

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.
Chama Cha Mapinduzi, Kuu Street, P.O.Box 50, Dodoma-TZ.
Barua Pepe
Muda Wa Kazi
24/7
Anuani
P.O.Box 50