CCM - Chama Cha Mapinduzi
Muda Wa Kazi: 24/7

Habari na Matukio Mbalimbali


kikao cha Kamati Maalum Zanzibar

alternative

Ndugu Dk. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, 

Leo tarehe 5 Septemba 2021 ameshiriki kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.

Kikao hicho kimefanyika katika Afisi Kuu ya CCM Zanzibar, Kisiwandui.

Maoni & Mawasiliano

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.
Chama Cha Mapinduzi, Kuu Street, P.O.Box 50, Dodoma-TZ.
Barua Pepe
Muda Wa Kazi
24/7
Anuani
P.O.Box 50