Matukio Mbalimbali ya Chama Cha Mapinduzi


Chama

Tunatoa Shukurani za dhati kwa Wapiga kura wote waliofanikisha ushindi wa Kishindo kwa Chama cha Mapinduzi.

Chama

Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Dkt John Pombe Joseph Magufuli.

Chama

  Mwenyekiti Wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli amejitokeza na Kwenda Kupiga Kura Chamwino Ikulu.

Chama

Mgombea Urais Kwa Tiketi Ya Ccm Mhe Rais  Dkt John Pombe Magufuli Akizungumza  Na Wananchi Uwanja Wa Kwaraha  Babati.  

Chama

Katibu Mkuu Wa CCM Ndugu Bashiru Ally, Pamoja Mwenyekiti wa CCM Mkoa Wa Manyara  Wakifuatilia Hotuba Ya Mgombea Uraisi Kupitia Tiketi Ya CCM Uliofanyika Babati Mkoani Manyara.

Chama

Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Frederick Sumaye, Pamoja Na Viongozi Mbalimbali Wa Chama Wakifuatilia Hotuba Ya Mgombea Uraisi Kupitia Tiketi Ya CCM Uliofanyika Babati Mkoani Manyara.

Chama

SEHEMU YA WANANCHI WA ARUSHA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI WA MGOMBEA URAIS  KWA TIKETI YA CCM MHE. DKT JOHN POMBE MAGUFULI UWANJA WA  SHEIKH AMRI ABEID

Chama

MKUTANO WA KAMPENI WA MGOMBEA URAIS  KWA TIKETI YA CCM MHE. DKT JOHN POMBE MAGUFULI UWANJA WA  SHEIKH AMRI ABEID.

Chama

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Akimvesha kofia Mwenyeki Wa Chama Cha TLP, Ndugu Augustino Mrema Leo Mkoani Kilimanjaro.

Chama

Sehemu Ya Wananchi wa Moshi Mkoani Kilimanjaro Walijitokeza kusikiliza Sera Za Mgombea Uraisi Kwa Tiketi Ya CCM....

Chama

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli azungumza na Wananchi wa Moshi mkoani Kilimanjaro.

Chama

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwaelezea wananchi wa Korogwe namna ya kumpigia kura...

Chama

MKATA  WATAKATA. MAELFU YA WANANCHI KWENYE MAPOKEZI YA MGOMBEA URAIS WA CCM MHE. RAIS MAGUFULI AKIINGIA MKOA WA TANGA

Chama

Mgombea Uraisi Kwa Tiketi Ya CCM Ndugu John Magufuli Akiwahotubia Wananchi Wa Msata Mapema Leo , Alipokuwa Njiani Kuelekea Mkoani Tanga..

Chama

Raisi Mstaafu wa Awamu Ya Nne Mh Jakaya Kikwete Akimsikilia Mgombea Uraisi Kwa Tiketi Ya CCM Ndugu John Magufuli Akiwahotubia Wananchi Wa Msata..

Chama

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Akizungumza Na Wananchi Wa Kawe..

Chama

Mgombea Ubunge Jimbo La kawe Askofu Gwajima akiomba kura kwa wananchi wa Kawe..

Chama

Katibu Wa NEC Itikadi na Uenezi Wa CCM Ndugu Polepole Akisherehesha Kwenye Mkutano Wa kampeni Kawe..

Chama

Katibu Mkuu Wa CCM Dkt Bashiru Ally Akionesha Uwezo Wake Wa Kucheza Mziki Wa Singeli..

Chama

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kinyerezi, Wilaya Ya Ilala ..

Chama

MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM MHE. RAIS DKT JOHN  POMBE MAGUFULI AKIMVESHA KOFIA MSANII DULLA MAKABILA

Chama

MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM MHE. RAIS DKT JOHN  POMBE MAGUFULI AKIMVESHA KOFIA MSANII MBOSO 

Chama

MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM MHE. RAIS DKT JOHN  POMBE MAGUFULI AKIWA KISIWANI  UNGUJA VIWANJA VYA  MNAZI MMOJA  NA MGOMBEA URAIS WA CCM ZANZIBAR DKT HUSSEIN ALLI MWINYI  NA VIONGOZI WENGINE WA CCM WAKI BURUDIKA..

Chama

MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM MHE. RAIS DKT JOHN  POMBE MAGUFULI AKIMVESHA KOFIA MSANII NANDY ...

Chama

MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM MHE. RAIS DKT JOHN  POMBE MAGUFULI AWASILI KISIWANI  UNGUJA AKITOKEA MKOANI SONGWE..

Chama

MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM MHE. RAIS DKT JOHN  POMBE MAGUFULI AWASILI KISIWANI  UNGUJA  NA KUMTEMBELEA HOSPTALI YA MNAZI MMOJA  MWANACHAMA WA CCM KHAMIS MAKAME NYANGE ..

Chama

MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM MHE. RAIS DKT JOHN  POMBE MAGUFULI AKINADI SERA MBELE YA  MAELFU YA  WA WANANCHI WA TUNDUMA KATIKA VIWANJA VYA NYERERE MKOA WA SONGWE.

Chama

MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM MHE. RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AKIPIGA TUMBA LEO MJI MDOGO WA VWAWA MKOA WA SONGWE.

Chama

Mgombea Ubunge jimbo la Mbeya Mjini Dkt. Tulia Acksoni akifuatilia hotuba ya Mwenyekiti na  Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John kwenye mkutano wa kampeni Mbeya....

Chama

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi Ndizi kutoka kwa msanii Rayvanny kwenye mkutano wa kampeni Mbeya....

Chama

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiingia viwanja vya Airport ya Zamani mkoani Mbeya.....

Chama

MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM MHE. RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AKIOMBA KURA KWA UMATI WA WANANCHI WALIOJITOKEZA  ENEO LA MAFINGA  AKIWA NJIANI KUELEKEA  MBEYA

Chama

MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM MHE. RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AKIOMBA KURA KWA UMATI WA WANANCHI WALIOJITOKEZA  ENEO LA MAFINGA  AKIWA NJIANI KUELEKEA  MBEYA.

Chama

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiingia uwanja wa Uhuru Urambo mkoani Tabora ...

Chama

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, ametoa msimamo wa Chama katika kuteua wabunge wa viti maalum...

Chama

Mgombea wa Urais kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi Zanzibar Dk Hussein Mwinyi akizungumza na waendesha bodaboda wa Mgagadu PEMBA.

Chama

Mgombea wa Urais kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi Zanzibar Dk Hussein Mwinyi akiongea na wajasiriamali wa Michenzani PEMBA.

Chama

Sehemu ya Wananchi wa Kigoma Mjini Mkoani Kigoma wakifatilia mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)..

Chama

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anafurahia jambo wakati wa mkutano wa kampeni kigoma mjini..

Chama

Mgombea Uraisi wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha mapinduzi Mheshimiwa Dk Hussein Mwinyi akiwasili kwenye kiwanja cha kibanda maiti...

Chama

Jukwaa kuu la uzinduzi wa Kampeni za Mgombea uraisi wa Zanzibar kwa tiketi ya  Chama Cha Mapinduzi ,uwanja wa Demokrasia ..

Chama

Maandamano ya Vijana (UVCCM) wa Chama cha Mapinduzi kuelekea uzinduzi wa kampeni za mgombea urais Zanzibar.....

Chama

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais kwa tiketi ya CCM Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Jimbo la Mtwara Mjini ... 

Chama

Taarifa Kutoka kwa Dr Bashiru Ally Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Leo 06-09-2020 ...

Chama

Sehemu ya Wananchi wa Magu Mkoani Mwanza wakifatilia mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

Chama

Sehemu ya Wananchi wa Nyashimo Busega wakifatilia mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ..

Chama

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)  Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Nyashimo Busega..

Chama

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anafurahia wakati akiangalia msanii wa Singeli Sholo Mwamba ....

Chama

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza huku akiwa ameishika Ilani ya Uchaguzi ya CCM...  

Chama

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga..

Chama

Sehemu ya Wananchi waliohudhuria Mkutano wa Kampeni wa Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM..

Chama

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa mkoa wa Singida..

Chama

Wananchi wa Ikungi mkoani Singida wakimshangilia Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM...

Chama

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Manyoni ..

Chama

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Dodoma..

Chama

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia viongozi..

Chama

Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM  Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza..

Chama

Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja ....

Chama

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Bashiru Ally ashiriki Jogging ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi kutoka Mitaa mbalimbali ya Jijini Dodoma.

Chama

Jinsi ya kulipa ada za uwanachama wa Chama Cha Mapinduzi...

Chama

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa Fomu zake ..

Chama

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akirudisha Fomu ya Kugombea nafasi ya Uraisi

Chama

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza  na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) Dkt Ali Mohamed Shein....

Chama

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akiingia kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM.....

Chama

Afisa Tehama wa CCM, akitoa maelezo kwa Dk. Bashiru jinsi kituo hicho kitakavyopokea taarifa mbalimbaliza za uchaguzi kupitia kituo hicho.

Chama

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),  Dk. Ali Bashiru akiwasiliana na Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha, 

Chama

Jinsi ya kulipa ada za uwanachama wa Chama Cha Mapinduzi..

Chama

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika Begi leye Fomu ....

Chama

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa Begi ....

Chama

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mgombea Mwenza..

Chama

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika Begi ..  

Chama

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka udongo ...

Chama

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifuta machozi...

Chama

Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM.....

Chama

Wasanii wa Kizazi kipya

Chama

Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM kwa upande wa Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi

Chama

Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu wa Chama cha Mapinduzi CCM NEC

Chama

Spika wa Bunge Job Ndugai akitangaza Matokeo ya Uchaguzi

Chama

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasilisha na kusaini Fomu za maombi ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa Mgombea Urais.

Chama

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa CCM.

Chama

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Sekretariet ya Chama cha Mapinduzi.

Chama

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. John Pombe Magufuli akionesha Fomu zake.

Chama

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ndani ya Ukumbi wa NEC

Chama

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Juni 30, 2020, atarudisha Fomu ya kugombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi.

Chama

MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA CCM TAIFA

Chama

Kikao cha Mwenyekiti wa CCM,Viongozi na watendaji wa chama na jumuiya zake za mikoa na wilaya

Chama

Siasa

Mh. Rais Magufuli na Mwenyekiti wa CCM, Akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa Ya CCM

Siasa

Serikali

Makamu Wa Rais Mteule , Mhe. Samia Suluhu Hassani akila kiapo kuwa Makamu Wa Rais wa Tanzania kwa muhula wa pili.

Serikali

Rais Mteule, Dkt. John Pombe Magufuli akila kiapo kuwa Rais wa Tanzania kwa muhula wa pili..

Serikali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono ..

Serikali

Mabregedia Jenerali wa JWTZ wakishuhudia Jeneza lenye Mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa ..

Serikali

Wanajeshi wa JWTZ wakiwa wamebeba Jeneza lenye Mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa

Serikali

Habari

Kimataifa

Maendeleo

Mawasiliano Ya Chama

Kuwa Karibu na CCM

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.

Unaweza Kupakua CCM APP


Ungana nasi katika Mitandao Ya Kijamii

Youtube Channel