Chama Cha Mapinduzi

WABUNGE WAPIGWA MSASA KATIKA SEMINA MCHAKATI WA UTUNGAJI SHERIA

Serafine Tamba akitoa mada kuhusu Mchakato wa Utungaji Sheria katika Semina ya Wabunge wa Kamati ya Kamati ya Katiba na Sheria, Kamati ya Sheria Ndogo na Kamati Mambo Nje, Ulinzi na Usalama

Serafine Tamba akitoa mada kuhusu Mchakato wa Utungaji Sheria katika Semina ya Wabunge wa Kamati ya Kamati ya Katiba na Sheria, Kamati ya Sheria Ndogo na Kamati Mambo Nje, Ulinzi na Usalama.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Sheria Ndogo, Mheshimiwa Andrew Chenge akitoa mchango
wake Katika Semina ya Wabunge iliyofanyika Mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Balozi Adadi Rajabu, akizungumza katika Semina ya Wabunge wa Kamati ya Katiba na Sheria, Kamati ya Sheria Ndogo na Kamati Mambo Nje, Ulinzi na Usalama iliyofanyika Mjini Dodoma.Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba na Sheria Mohamed Mchengelwa 

Wajumbe wa Kamati tatu za Bunge wakifuatiliana mada kuhusu mchakato wa Utungaji Sheria kutoka kwa Ndugu Serafine Tamba  katika Semina ya Wabunge iliyofanyika Mjini Dodoma. Wajumbe wa Kamati zilizohudhuria
Semina hiyo ni Kamati ya Katiba na Sheria, Kamati ya Sheria Ndogo na Kamati Mambo Nje, Ulinzi na Usalama.

Add comment

Follow us

Don't be shy, get in touch. We love meeting interesting people and making new friends.