Chama Cha Mapinduzi

SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AKUTANA NA KINANA.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Spika wa Bunge Job Ndugai, wakati Spika alipofika kumsalimia, Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, Septemba 24, 2016. Kushoto ni Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimwongoza kutoka nje Spika wa Bunge Job Ndugai, baada ya mazungumzo yao, wakati Spika alipofika kumsalimia, Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, Septemba 24, 2016. Nyuma ya Spika ni Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka, wakisubiri kuondoka Spika wa Bunge Job Ndugai Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam

Add comment

Follow us

Don't be shy, get in touch. We love meeting interesting people and making new friends.