Chama Cha Mapinduzi

Rais Dkt Magufuli awasili jijini Dar akitokea kijijini kwake Chato,mkoani Geita

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasili jijni Dar es salaam muda si mrefu akitokea kijjini kwake Chato, mkoa wa Geita, na kupokelewa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda na viongozi wengine

Add comment

Follow us

Don't be shy, get in touch. We love meeting interesting people and making new friends.