Chama Cha Mapinduzi

RAIS DK. MAGUFULI MAPUMZIKONI KIJIJINI KWAO, LUBAMBAGWE WILAYANI CHATO, GEITA

Rais Dk. John Magufuli akiangalia picha aliyokuwa akionyeshwa kwenye simu na mama yake, Mama Suzana Magufuli walipokuwa wamepumzika nyumbani kwao katika kijiji cha Lubambangwe Chato mkoani Geita, leo Rais yupo mapumzikoni.

Rais Dk. John Magufuli akisikiliza radio na Mama yake mzazi Suzana Magufuli walipokuwa wamepumzika nyumbani kwao katika kijiji cha Lubambagwe, Chato mkoani Geita. Kushoto ni mdogo wake Asteria PICHA NA IKULU

Add comment

Follow us

Don't be shy, get in touch. We love meeting interesting people and making new friends.