Chama Cha Mapinduzi

MUENDELEZO WA ZIARA YA KUJITAMBULISHA YA RC DKT. MAHENGE KWENYE WILAYA ZA MKOA WA DODOMA

Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. John Samwel Malecela (mwenye kofia ya njano) akimuonesha Mkuu wa Mkoa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge mizabibu iliyopandwa kwenye shamba la Chinangali II Wilayani Chamwino wakati wa Ziara ya Dkt. Mahenge Wilayani humo

Mkuu wa Mkoa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge na ujumbe alioambatana nao wakipata maelezo juu ya mashine ya kusukumia maji kwa ajili ya umwagiliaji wa matone kwenye shamba la zabibu la Chinangali II Wilayani Chamwino wakati wa Ziara ya Dkt. Mahenge Wilayani humo.

Add comment

Follow us

Don't be shy, get in touch. We love meeting interesting people and making new friends.