Viongozi Wakuu CCM

Jakaya Mrisho Kikwete
Jakaya Mrisho KikweteMwenyekiti Wa CCM
Ungana na Dkt: Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Nne Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika shughuli mbalimbali za kujenga nchi na chama.
JNdugu Abdulrahman Kinana
JNdugu Abdulrahman KinanaKatibu Mkuu
Jitihada za Ndugu Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa katika kujenga na kuimarisha chama.

Chama Cha Mapinduzi

CCM inaendelea kuimarisha umoja na mshikamano wa kitaifa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha mfumo wa vyama vingi hauwi sababu ya chuki na msambaratiko wa umoja wa
kitaifa, amani na mshikamano. Chama cha Mapinduzi (CCM) ni chama tawala nchini Tanzania. CCM ilizaliwa 5 Februari 1977 baada ya kuungana kwa vyama vya Tanganyika African National Union (TANU) kilichokuwa kikitawala Tanzania Bara na Afro-Shirazi Party (ASP) kilichokuwa chama tawala cha Zanzibar wakati huo. Chama cha Mapinduzi kilikuwa kikiongozwa na Mwalimu Nyerere na Afro-Shiraz Party kilikuwa chini ya Amaan Karume. Kwa miaka mingi CCM ilikuwa ikifuata siasa ya Ujamaa na Kujitegemea. Itikadi hii ilipewa nguvu za kisera mwaka 1967 lilipotangazwa Azimio la Arusha. Kutokana na azimio hilo uchumi uliwekwa mikononi mwa umma. Itikadi hii pia ilisisitiza umuhimu wa kuishi pamoja hasa katika vijiji vya Ujamaa.

Ijue CCM

Historia ya Chama Cha Mapinduzi, CCM ni nini, Sera za Chama.

Pata Kufahamu CCM

Pata nyaraka mbalimbali za CCM, kama kujua historia ya chama pamoja na Katiba ya chama na Misingi yake.
BOFYA HAPA!

Hotuba Mbalimbali

Sikiliza hotuba za viongozi mbalimbali wa chama katika hafla tofauti

Sikiliza Hotuba Mbalimbali

Sikiliza Hotuba mbalimbali za chama, matukio kupitia maktaba tofauti
SIKILIZA HOTUBA!

Nyaraka

Pata katiba ya chama, kalenda ya vikao na nyaraka nyengine nyingi.

Nyaraka Za Chama

Pata katiba ya chama, kalenda ya vikao na nyaraka nyenginezo nyingi hapa.
PAKUA NYARAKA!

Video

Maktaba Ya Sauti